INA MAANA HIZI PAPER TUNAZO SOVU KUMBE ZILISHASOVIWA AU ? Naandika Magoda Jr 📌 Sina maana mwalimu hana uwezo wa kusovu pepa hapana ila nauliza tu maana kuna maneno eti inasemekana kuwa hizi pepa tunazosoviwa sasa zilishasoviwa muda sana na making'i skimu yake ipo kitambo tu . 📌 Nauliza nipate uhakika maana sisi tuliambiwa kuwa hizi pepa walimu wengine walikuwa wanazikimbia kuziandalia making'i skimu isipokuwa mwalimu huyu pekee ndio ameziandalia making'i skimu haraka haraka yani na sasa anazisovu ndio maana tulikuwa tunamsifia yeye tu . ✒ Hebu nisaidieni kuniambia kuwa zilishandaliwa making'i skimu mapema wa sasa anazisovu tu au yeye ndio ameandaa making'i skimu na kuzisovu peke yake. Ila Yesu wa Nazareth aliulizwa na wasomi wabobezi wa kodi je ni halali kodi ilipwe kwa kaisari ? 💒Kwa umakini mkubwa sana na uweledi sababu ana taaluma ya ualimu ndani yake akawajibu kwa kutumia mbinu shirikishi na matumizi ya zana za ufundishaji akachukua sarafu na k...