JOTO LA UCHAGUZI : INA MAANA HIZI PAPER TUNAZO SOLVE KUMBE ZILISHASOVIWA AU?
INA MAANA HIZI PAPER TUNAZO SOVU KUMBE ZILISHASOVIWA AU ?
Naandika Magoda Jr
π Sina maana mwalimu hana uwezo wa kusovu pepa hapana ila nauliza tu maana kuna maneno eti inasemekana kuwa hizi pepa tunazosoviwa sasa zilishasoviwa muda sana na making'i skimu yake ipo kitambo tu .
π Nauliza nipate uhakika maana sisi tuliambiwa kuwa hizi pepa walimu wengine walikuwa wanazikimbia kuziandalia making'i skimu isipokuwa mwalimu huyu pekee ndio ameziandalia making'i skimu haraka haraka yani na sasa anazisovu ndio maana tulikuwa tunamsifia yeye tu .
✒ Hebu nisaidieni kuniambia kuwa zilishandaliwa making'i skimu mapema wa sasa anazisovu tu au yeye ndio ameandaa making'i skimu na kuzisovu peke yake.
Ila Yesu wa Nazareth aliulizwa na wasomi wabobezi wa kodi je ni halali kodi ilipwe kwa kaisari ?
πKwa umakini mkubwa sana na uweledi sababu ana taaluma ya ualimu ndani yake akawajibu kwa kutumia mbinu shirikishi na matumizi ya zana za ufundishaji akachukua sarafu na kuwauliza je sarafu ina picha ya nani makutano wakajibu Kaisari basi naye akawaambia *Vya Kaisari apewe Kaisari*
Itoshe kusema VYA KAISARI APEWE KAISARI .
Wenu katika makutano
Magoda Jr.
Mhanga wa wajumbe .
+255 718821168.
29/7/2020 18:14 pm
Comments
Post a Comment