AJIRA KATIKA KADA YA AFYA 2020
Tamisemi imeachia au kufungua mfumo wake wa ajira katika kada ya afya.
Kwa yoyote mwenye sifa za kua mhitim au vyeti katika kada ya afya ana ruhusiwa kutuma maombi yake.
Kupitia hizi link :
www.tamisemi.go.tz
ajira.tamisemi.go.tz
Comments
Post a Comment