MAAJABU YA DUNIA MWIZI AMSAIDIA MTOTO
Dereva mwizi aligundua kuwa mtoto alikuwa amelazwa katika kiti cha nyuma. Picha: Hisani
Mwizi huyo ambaye alikuwa na nia ya kuliaba gari hilo mara moja baada ya kugundua kuwa wawili hao wamezama dukani, aliitumia ujuzi wake na kuingia kwenye gari hilo na moja kwa moja akaanza kuendesha upesi .
Baada ya kuenda kwa muda, dereva mwizi aligundua kuwa mtoto alikuwa amelazwa katika kiti cha nyuma baada ya mtoto huyu kuanza kulia kwa hasira.
Jamaa huyo alichanganyikiwa kuhusu la kufanya, kwa njia isiyo ya kawaida, jamaa huyo alilazimika kulirejesha gari hilo hadi alikolichukua baada ya kushindwa kuhimili kelele ya mtoto.
Alipowasili, aliegesha gari na kuchukua mtoto huyo hadi ndani ya duka hilo kuwatafuta wazazi wake. Aliwaambia kuwa walisahau kufunga mlango wa gari lao na kuwa mtoto wao alikuwa akilia na ndipo akaamua kumsaidia.
Wanandoa hao walimpongeza pakubwa kwa kumuokoa mwanao pasi kujua kuwa huyo alikuwa mwizi na kuwa mwano ndiye aliyeliokoa gari lao.
Maajabu hayaishi.

Comments
Post a Comment