Posts

AJIRA KATIKA KADA YA AFYA 2020

Tamisemi imeachia au kufungua mfumo wake wa ajira katika kada ya afya.  Kwa yoyote mwenye sifa za kua mhitim au vyeti katika kada ya afya ana ruhusiwa kutuma maombi yake.  Kupitia hizi link :        www.tamisemi.go.tz         ajira.tamisemi.go.tz 

JOTO LA UCHAGUZI : INA MAANA HIZI PAPER TUNAZO SOLVE KUMBE ZILISHASOVIWA AU?

INA MAANA HIZI PAPER TUNAZO SOVU KUMBE ZILISHASOVIWA AU ? Naandika Magoda Jr πŸ“Œ Sina maana mwalimu hana uwezo wa kusovu pepa hapana ila nauliza tu maana kuna maneno eti  inasemekana kuwa hizi pepa tunazosoviwa sasa zilishasoviwa muda sana na making'i skimu yake ipo kitambo tu . πŸ“Œ  Nauliza nipate uhakika maana sisi tuliambiwa kuwa hizi pepa walimu wengine  walikuwa wanazikimbia kuziandalia making'i  skimu isipokuwa mwalimu huyu pekee ndio ameziandalia making'i skimu haraka haraka yani na sasa anazisovu ndio maana tulikuwa tunamsifia yeye tu . ✒ Hebu nisaidieni kuniambia kuwa zilishandaliwa making'i skimu  mapema wa sasa anazisovu tu au yeye ndio ameandaa making'i skimu na kuzisovu peke yake. Ila Yesu wa Nazareth aliulizwa na wasomi wabobezi wa kodi je ni halali kodi ilipwe kwa kaisari ? πŸ’’Kwa umakini mkubwa sana na uweledi sababu ana taaluma ya ualimu ndani yake akawajibu kwa kutumia mbinu shirikishi na matumizi ya zana za ufundishaji  akachukua sarafu na k...

MHE. STANSLAUS MABULA ATETEA UBUNGE JIMBO LA NYAMAGANA

Image
MHE. STANSLAUS MABULA ATETEA UBUNGE KURA ZA MAONI JIMBO LA NYAMAGANA* Mhe. Stanslaus Mabula aongoza kura za maoni  mkutano mkuu wa Jimbo katika mchakato wa awali wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Nyamagana kutafuta mwakilishi atakaye peperusha Bendera Uchaguzi mkuu Octoba 2020.  Mhe. Mabula Mbunge anayemaliza muda wake Katika kipindi Cha 2015-2020 amefanikiwa kuongoza Kura za Maoni  kwa kupata kura 319, akifuatiwa na John Nzwalile aliyepata kura 54 pamoja na John Nzilanyingi aliyepata Kura 46. Mchakato huo umehusisha wanachama 105 waliojitokeza kwenye kinyang'anilo hicho na kupigiwa kura takribani na  wajumbe wa mkutano huo 606. Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Jimbo la NyamaganaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

SAID KUBENEA AHAMIA ACT WAZALENDO MAPEMA LEO

Image
Hayaaaa hayaaaa sasa nilisema jamani  nilisemaaa Mimi Leo ACT WAZALENDO mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Kila kukicha tunapokea wanachama tena wenye uwezoo na ushawishi ktk jamii zaoo aisee Karibu UZALENDONI ndugu KUBENEA hakika umechagua chagua sahihi karibu ktk familia ya WAHANGA wenzakoo aiseee mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Nilisha sema  Mimi sitaki kusema sana lakini ACT WAZALENDO inafanya kila kukicha nisemee aisee mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Ccm mjiandaee kisaikolojia mwaka huu ndio mwaka wenu wa mwisho hivyoo muanzee kuchukua kila kilicho chenu nawaambieni Nilipoo sema ngoja MVUA INYESHE TUONE PANAPO VUJA hamkunielewaa sasa nazani mtanielewaaa kuwa mpaka sasa kuna pahala panavujaaa hayaa Mimi sisemii tena aiseee ACT WAZALENDO TUPO VIZURI TUMEJIPANGA VYAKUTOSHA KULINDA KURA ZETU NA USHINDI WETU MTAELEWAAAA TUU ACT WAZALENDO TUNASEMAA INAFUUUUUUUUUUUUUUUUUU TUKUTANE 25/10/2020 TUU HUU NI UCHAGUZI WA KUFA NA KUPONA LIWALO ...

MH. HASHIM RUNGWE NA UBWABWA MASHULENI, SERA YA KITAALAMU KWENYE UCHAGUZI 2020

Image
                     JICHO LA KITAALAMU : HASHIMU RUNGWE NA SERA YA UBWABWA MASHULENI. Naandika Magoda Jr . Kitaalamu sera ya Hashimu Rungwe ya ubwabwa wa moto mashuleni ni moja ya sera bora zaidi kwa mustakabali wa taifa letu na inaendana na hadhi ya taifa la uchumi wa kati  wa Tanzania , hakika amefikiria kwa kuweka utaifa mbele kuliko maslahi ya wachache na watanzania wote inabidi tumuunge mkono. πŸ“• Kitaalamu Hashim Rungwe ametumia lugha ya kisiasa ili kupata umakini wa watu wengi ndio maana katumia neno ubwabwa lakini hoja yake kubwa ni kuhakikisha wanafunzi wetu wanapata chakula bora mashuleni kuanzia chekechea kidato cha sita kwa faida ya mwili na ubongo pia. πŸ“•Duniani kote tafiti zinathibitisha pasi na shaka kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja katika ya chakula bora na ujifunzaji mzuri mashuleni ,lakini pia katika uga wa utatibu wanathibitisha umuhimu wa lishe bora na ukuaji mzuri wa mwili na afya ya akili n...

TANGAZO MAALUM KWA WALIOPATA NAFASI YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MWAKA 2020 FORM SIX

Image
                          Tangazo maalum kwa waliopata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga JKT kwa mwaka 2020. Kwa vijana wa kidato cha sita. 

PAUL MAKONDA: FANANI ALIYEIMUDU VYEMA HADHIRA YAKE

Image
*PAUL MAKONDA:FANANI ALIYEIMUDU VYEMA HADHIRA YAKE* Naandika Magoda Jr. Moja kati ya sifa bilioni tatu za fanani basi ni kuitambua na kuimudu vyema hadhira yake bila muachano mkubwa , wale ambao walibahatika kuusoma uga wa fasihi wanaweza kuwa mashahidi katika hilo. Pual Makonda au unaweza muita Baba ake na Keegan Kwa nafasi yake aliweza vyema kuendana na mirindimo ya wanadaresalamu na dar es alamu yenyewe na mpaka kijiti kinakabidhiwa kwa mwingine ile hadhi ya jiji la Dar es salaam ilikuwa bado iko juu kileleni. Paul Makonda namuona kama fanani aliyeimudu vyema hadhira yake kwa sababu aliweza fika kujipambanua kulingana na makundi mengi ya wanadaresalamu  na alifanikiwa katika hilo maana mkoa wa Dar es salaam sio wa mchezo mchezo .  Paul Makonda kijiti chake kimepata mtu mwingine lakini wanadaresalamu na Dar es salaam mchango wake utaendelea kukumbukwa sana na jina lake litabaki mioyoni mwa wanadaresalamu kutoka makundi mbalimbali ya wananchi wa jiji la Dar es...